Rodrigo Santoro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rodrigo Santoro.

Rodrigo Junqueira dos Reis Santoro (amezaliwa 22 Agosti 1975) ni mwigizaji filamu na tamthilia kutoka nchi ya Brazil. Hapo awali alikuwa akiigiza katika baadhi ya tamthilia za kilatini zinazojulikana kwa jina telenovela, zilizopo nchini kwake. Kunako mwaka wa 2003 akaanza kujipatia umaarufu baada ya kucheza katika filamu ya Love actually na 300 iliyochezwa mwaka 2007.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rodrigo Santoro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.