Mia Kirshner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mia Kirshner
Mia Kirshner corr.jpg
200px
Amezaliwa Mia Kirshner
25 Januari 1975 (1975-01-25) (umri 46)

Mia Kirshner (amezaliwa tar. 25 Januari 1975) ni mwigizaji wa Kikanada, anayejulikana sana kwa kucheza filamu na vipindi vya mifululizo ya televisheni.

Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Jenny Schecter katika kipindi cha The L Word, mfululizo unaohusu maisha ya kikundi cha wasagaji wanaoishi Magharibi mwa Hollywood.

Pia, alipata kucheza katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Humo alicheza kama gaidi na alitumia jina la Mandy.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mia Kirshner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.