Eva Longoria
Eva Longoria Parker | |
---|---|
![]() Eva Longoria kwenye sherehe ya 2015 Cannes Film Festival | |
Amezaliwa | Eva Jacqueline Longoria Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji |
Eva Jacqueline Longoria (amezaliwa tar. 15 Machi 1975) ni mshindi wa tuzo ya Golden Globe-mwigizaji bora filamu na tamthilia kutoka nchi ya Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la Gabrielle Solis aliloigiza kutoka katika tamthilia ya Desperate Housewives iliyokuwa inayorushwa hewani na televisheni ya ABC ya Marekani.
Maisha ya kibinafsi[hariri | hariri chanzo]
Eva Longoria aliolewa na mwigizaji Tyler Christopher kutoka mwaka wa 2002 hadi 2004.[1] Longoria alikutana na Tony Parker mnamo Novemba 2004, na akaposwa mnamo 30 Novemba 2006.[2] Wawili hawa walioana mjini Paris mnamo 6 Julai 2007 katika sherehe ya Kikatholiki.[3]
Filamu[hariri | hariri chanzo]
Mwaka | Jina la kipindi | Aliigiza kama | Maelezo |
---|---|---|---|
2004– hadi sasa |
Desperate Housewives | Gabrielle Solis | Mwigizaji Mkuu |
Mwaka | Kipindi | Aliigiza kama | Maelezo |
---|---|---|---|
2000 | Beverly Hills, 90210 | Mhudumu wa ndege #3 | "I Will Be Your Father Figure" (Msimu wa 10, kipindi 19) |
2000 | General Hospital | Brenda Barrett Lookalike | "Kipindi cha tarehe 25 Septemba 2000" |
2001– 2003 |
The Young and the Restless | Isabella Braña Williams | "Kipindi #1.7136" "Kipindi #1.7142" "Kipindi #1.7149" "Kipindi #1.7261" |
2003– 2004 |
Dragnet | Det. Gloria Duran | "Daddy's Girl" (Msimu 2, kipindi 1) "Coyote" (Msimu 2, kipindi 2) "17 in 6" (Msimu 2, kipindi 3) "The Magic Bullet" (Msimu 2, kipindi 4) "Slice of Life" (Msimu 2, kipindi 5) "Abduction" (Msimu 2, kipindi 6) "Frame of Mind" (Msimu 2, kipindi 7) "Retribution" (Msimu 2, kipindi 8) "Riddance" (Msimu 2, kipindi 9) "Killing Fields" (Msimu 2, kipindi 10) |
2006 | George Lopez | Brooke | "George Vows to Make Some Matri-Money" (Msimu 5, kipindi 19) |
2008 | Children's Hospital | The New Chief | "Kipindi #1.10" (Msimu 2, kipindi 10) |
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Eva Longoria Biography. people.com. Iliwekwa mnamo 2008-06-13.
- ↑ Alexander, Bryan. "Eva Longoria & Tony Parker Engaged", people.com, 2006-11-30. Retrieved on 2008-06-13. Archived from the original on 2008-05-27.
- ↑ Eva Longoria, Tony Parker Make It Official, Again, USA Today, 7 Julai 2007
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Eva Longoria Parker kwenye Internet Movie Database
- Eva Longoria Parker Interview
- Eva Longoria Parker katika Rotten Tomatoes
- Eva Longoria Parker katika TV.com
- Eva Longoria katika People.com
- Eva Longoria Parker 2007 short film Archived 14 Februari 2008 at the Wayback Machine. on Funny Or Die
- Eva Longoria Parker interview, CYInterview
![]() |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eva Longoria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |