Ivo Andric

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ivo Andric

Ivo Andric (10 Oktoba 189213 Machi 1975) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Yugoslavia. Hasa aliandika riwaya; lugha yake ni KiSerbia. Mwaka wa 1961 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ivo Andric kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.