Visiwa vya Faroe
Kutoka Wikipedia
|
|||||
| Wito la taifa: -- | |||||
| Wimbo wa taifa: Tú alfagra land mítt "We nchi yangu nzuri" |
|||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | Tórshavn |
||||
| Mji mkubwa nchini | Torshavn | ||||
| Lugha rasmi | Kifaroe, Kidenmark | ||||
| Serikali | demokrasia, ufalme wa kikatiba Malkia Margrethe II wa Denmark Jóannes Eidesgaard |
||||
| Jimbo la nje la Denmark Madaraka ya kujitawala |
1948 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
1,399 km² (ya 180) 0.5 |
||||
| Idadi ya watu - Desemba 2006 kadirio - 2004 sensa - Msongamano wa watu |
48,317 (ya 214) 48,470 34/km² (ya 169) |
||||
| Ethnic groups ([[{{{Ethnic_groups_year}}}]]) | {{{Ethnic_groups}}} | ||||
| Fedha | Krona ya Faroe2 (DKK) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
GMT (UTC) EST (UTC+1) |
||||
| Intaneti TLD | .fo | ||||
| Kodi ya simu | +298 |
||||
Visiwa vya Faroe (Kifaroe: Føroyar - "Visiwa vya kondoo") ni funguvisiwa ya Atlantiki ya Kaskazini kati ya Iceland, Uskoti na Norwei na jimbo la nje la ufalme wa Denmark lenye madaraka ya pekee ya kujitawala.
Visiwa vinaendesha shughuli zao isipokuwa siasa ya nje, jeshi na mambo ya mahakama ni chini ya serikali kuu. Faroe viliamua kutoingia katika Umoja wa Ulaya pamoja na Denmark. Hali ya kisiasa ndani ya Denmark inalingana na Greenland ambayo pia ni jimbo la nje la Denmark linalojitawala kwa kiwango kikubwa. Visiwa vya Faroe vimeunda umoja wa forodha pamoja na Iceland.
Hadi 1814 visiwa vilikuwa chini ya Norwei.
Biashara ya visiwa imetegemea hasa uvuwi.
Lugha rasmi ni Kifaroe lugha ya Kigermaniki ya Kaskazini karibu na Kiiceland.


