Kanisa la Wakaldayo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:EMMANUEL-DELLY.jpg|thumb|right|280px|Patriarki wa sasa, kardinali [[Emmanuel III Delly]].]]
[[File:EMMANUEL-DELLY.jpg|thumb|right|280px|Patriarki mstaafu, [[kardinali]] [[Emmanuel III Delly]].]]
{{Kanisa Katoliki}}
{{Kanisa Katoliki}}
'''Kanisa Katoliki la Wakaldayo''' (kwa [[Kiaramu]] ܥܕܬܐ ܟܠܕܝܬܐ ܩܬܘܠܝܩܝܬܐ , ''ʿītha kaldetha qāthuliqetha'') ni mojawapo kati ya [[Makanisa Katoliki ya Mashariki]], likifuata [[mapokeo]] ya [[Mesopotamia]] na kutumia [[liturujia ya Mesopotamia]]<ref>{{cite web|url=http://www.kaldu.org/14_Reformed_ChaldeanMass/QA_NewMass.html |title=TQ & A on the Reformed Chaldean Mass |accessdate=2009-02-07}}</ref>.
'''Kanisa Katoliki la Wakaldayo''' (kwa [[Kiaramu]] ܥܕܬܐ ܟܠܕܝܬܐ ܩܬܘܠܝܩܝܬܐ , ''ʿītha kaldetha qāthuliqetha'') ni mojawapo kati ya [[Makanisa Katoliki ya Mashariki]], likifuata [[mapokeo]] ya [[Mesopotamia]] na kutumia [[liturujia ya Mesopotamia]]<ref>{{cite web|url=http://www.kaldu.org/14_Reformed_ChaldeanMass/QA_NewMass.html |title=TQ & A on the Reformed Chaldean Mass |accessdate=2009-02-07}}</ref>.
Mstari 14: Mstari 14:


== Muundo ==
== Muundo ==
Kanisa hilo linaongozwa na [[Patriarki]] wa [[Babuloni]], kwa sasa [[kardinali]] [[Emmanuel III Delly|Mar Emmanuel III Delly]], anayeishi [[Baghdad]], [[Iraki]].<ref>[http://ap.google.com/article/ALeqM5jrwm778S-HyuIfgZAXj6WPONyV8wD8SB0N8O0 AP]</ref>
Kanisa hilo linaongozwa na [[Patriarki]] wa [[Babuloni]], kwa sasa [[Louis Raphaël I Sako]] (kwa Kisiria: ܠܘܝܣ ܪܘܦܐܝܠ ܩܕܡܝܐ ܣܟܘ) aliyezaliwa tarehe [[4 Julai]] [[1948]] na anayeishi [[Baghdad]], [[Iraki]].<ref>[http://ap.google.com/article/ALeqM5jrwm778S-HyuIfgZAXj6WPONyV8wD8SB0N8O0 AP]</ref>


Chini yake kuna ma[[dayosisi|jimbo]] kati nchi hiyo, nyingine za [[Mashariki ya Kati]] na kwenye mtawanyiko uliotokana na waamini kuhama kwa sababu ya hali ngumu hasa ya [[vita]] na [[dhuluma]]: [[Iran]], [[Siria]], [[Uturuki]], [[Lebanon]], [[Misri]], [[Kanada]], [[Marekani]], [[Australia]] na [[New Zealand]] n.k.
Chini yake kuna ma[[dayosisi|jimbo]] kati nchi hiyo, nyingine za [[Mashariki ya Kati]] na kwenye mtawanyiko uliotokana na waamini kuhama kwa sababu ya hali ngumu hasa ya [[vita]] na [[dhuluma]]: [[Iran]], [[Siria]], [[Uturuki]], [[Lebanon]], [[Misri]], [[Kanada]], [[Marekani]], [[Australia]] na [[New Zealand]] n.k.

Pitio la 13:33, 31 Januari 2014

Patriarki mstaafu, kardinali Emmanuel III Delly.
Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa: Fransisko
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Kanisa Katoliki la Wakaldayo (kwa Kiaramu ܥܕܬܐ ܟܠܕܝܬܐ ܩܬܘܠܝܩܝܬܐ , ʿītha kaldetha qāthuliqetha) ni mojawapo kati ya Makanisa Katoliki ya Mashariki, likifuata mapokeo ya Mesopotamia na kutumia liturujia ya Mesopotamia[1].

Idadi ya waamini leo ni kati ya 500,000 na 1,000,000[2] [3], wengi wao wakiwa wenyeji wa Mesopotamia.

Historia

Kanisa hilo linachanga historia moja na Kanisa la Asiria hasa hadi mwaka 1552, lilipotokea farakano kati yao, huku waliojiita Wakaldayo wakiungana na Kanisa Katoliki kama walivyotangulia kufanya wenzao kadhaa wa Cyprus mwaka 1445[4]

Muundo

Kanisa hilo linaongozwa na Patriarki wa Babuloni, kwa sasa Louis Raphaël I Sako (kwa Kisiria: ܠܘܝܣ ܪܘܦܐܝܠ ܩܕܡܝܐ ܣܟܘ) aliyezaliwa tarehe 4 Julai 1948 na anayeishi Baghdad, Iraki.[5]

Chini yake kuna majimbo kati nchi hiyo, nyingine za Mashariki ya Kati na kwenye mtawanyiko uliotokana na waamini kuhama kwa sababu ya hali ngumu hasa ya vita na dhuluma: Iran, Siria, Uturuki, Lebanon, Misri, Kanada, Marekani, Australia na New Zealand n.k.

Tanbihi

  1. "TQ & A on the Reformed Chaldean Mass". Iliwekwa mnamo 2009-02-07. 
  2. Ronald Roberson. "The Eastern Catholic Churches 2010". Catholic Near East Welfare Association. Iliwekwa mnamo Desemba 2010.  Information sourced from Annuario Pontificio 2010 edition
  3. CNEWA - Chaldean Catholic Church
  4. Council of Florence, Bull of union with the Chaldeans and the Maronites of Cyprus Session 14, 7 Agosti 1445 [1]
  5. AP

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kanisa la Wakaldayo kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.