Konya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jimbo la Konya)
Jump to navigation Jump to search

Konya (kwa Kituruki: قونیه; pia Koniah, Konieh, Konia, na Qunia; kihistoria pia unajulikana kama Iconium kwa Kilatini kutokana na Kigiriki: Ἰκόνιον Ikónion) ni mji uliopo nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Konya.

Mji huo upo katikati ya mkoa wa Anatolia. Mji una wakazi wapatao 1,412,343 (kwa hesabu ya mwaka wa 2007). Mji upo mita 1,200 juu ya usawa wa bahari.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Turkey stub.png Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Konya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.