Etihad Airways
Etihad Airways (Kiarabu: الإتحاد, ʼal-ʻitiħād) ni ndege kuu ya mji wa Abu Dhabi iliyoanzishwa mnamo 2003.
Inasafiri nchini Mashariki ya Kati, Ulaya, India, Amerika Kaskazini, Afrika, Asia na Australia. Makao yake makuu ni katika uwanja wa ndege wa kimataifa ya Abu Dhabi. Mwaka wa 2008, ilibeba wasafiriwa zaidi ya milioni sita.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Etihad Airways ilitangazwa na Sheikh Khalifa in Zayed Al Nahyan kuwa ni ndege ya kitaifa ya nchi ya United Arab Emirates mnamo Februari 2003. Pesa za kuanzia kampuni hii ilikuwa takriban dirhamu milioni 500. Mnamo 12 Novemba 2003 Etihad ilianza kusafiri hadi mji wa Beirut.
Miji inayosafiria
[hariri | hariri chanzo]- Egypt
- Cairo - Cairo International Airport
- Libya
- Tripoli - Tripoli International Airport
- Morocco
- Casablanca - Mohammed V International Airport
- Afrika Kusini
- Cape Town - Cape Town International Airport
- Johannesburg - Tambo International Airport
- Sudan
- Khartoum - Khartoum International Airport
- Kazakhstan
- Uchina
- Japan
- Afghanistan
- Kabul - Kabul International Airport
- Bangladesh
- Dhaka - Zia International Airport
- India
- Chennai - Chennai International Airport
- Delhi - Indira Gandhi International Airport
- Hyderabad - Rajiv Gandhi International Airport
- Kochi - Cochin International Airport
- Kolkata - Netaji Subhash Chandra Bose International Airport
- Kozhikode - Calicut International Airport
- Mumbai - Chhatrapati Shivaji International Airport
- Thiruvananthapuram - Trivandrum International Airport
- Nepal
- Kathmandu - Tribhuvan International Airport
- Pakistan
- Sri Lanka
- Colombo - Bandaranaike International Airport
- Indonesia
- Jakarta - Soekarno-Hatta International Airport
- Malaysia
- Kuala Lumpur - Kuala Lumpur International Airport
- Philippines
- Manila - Ninoy Aquino International Airport
- Singapore
- Singapore Changi Airport
- Thailand
- Bangkok - Suvarnabhumi Airport
- Bahrain
- Bahrain International Airport
- Kupro
- Larnaca - Larnaca Airport
- Iran
- Tehran - Imam Khomeini International Airport
- Iraq
- Jordan
- Amman - Queen Alia International Airport
- Kuwait
- Kuwait International Airport
- Lebanon
- Beirut - Rafik Hariri International Airport
- Oman
- Muscat - Muscat International Airport
- Qatar
- Doha - Doha International Airport
- Saudi Arabia
- Syria
- Damascus - Damascus International Airport
- United Arab Emirates
- Belarus
- Minsk - Minsk International Airport
- Ubelgiji
- Brussels - Brussels Airport
- Ufaransa
- Paris - Charles de Gaulle Airport
- Ujerumani
- Ugiriki
- Athens - Athens International Airport
- Ireland
- Dublin - Dublin Airport
- Italia
- Milan - Malpensa Airport
- Urusi
- Moscow - Domodedovo International Airport
- Uswisi
- Geneva - Geneva International Airport
- Uturuki
- Istanbul - Atatürk International Airport
- Ulaya
- London - London Heathrow Airport
- Manchester - Manchester Airport
- Canada
- Toronto - Toronto Pearson International Airport
- Marekani
- Chicago - O'Hare International Airport
- New York City - John F. Kennedy International Airport
Ndani ya ndege
[hariri | hariri chanzo]Diamond Zone
[hariri | hariri chanzo]Viti vyake huweza kugeuzwa na kuwa kama kitanda cha urefu wa 6'8". Kuna taa ya kusomea, runinga, kioo, na hata chombo cha kukandia mwili.
Pearl Zone
[hariri | hariri chanzo]Viti huweza kulazwa kama vitanda vya urefu wa 6'1". Kila kiti kina taa ya kusomea pamoja na chombo cha kukandia.
Coral Zone
[hariri | hariri chanzo]Viti huweza kulazwa hadi inchi 33 tu. Kuna huduma ya simu pia.