30 Desemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka 30 Disemba)
| Nov - Desemba - Jan | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1370 - Uchaguzi wa Papa Gregori XI
- 2005 - Edward Ngoyayi Lowasa amechaguliwa kuwa waziri mkuu wa Tanzania.
Waliozaliwa [hariri]
- 1865 - Rudyard Kipling (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1907)
- 1935 - Omar Bongo, Rais wa Gabon
- 1974 - Khalilou Fadiga, mchezaji mpira kutoka Senegal
- 1980 - Eliza Dushku, mwigizaji filamu kutoka Marekani
Waliofariki [hariri]
- 274 - Papa Felix I
- 1591 - Papa Innocent IX
- 1944 - Romain Rolland (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1915)
- 1989 - Etienne Leroux, mwandishi wa Afrika Kusini
- 2006 - Saddam Hussein aliyekuwa rais wa Iraki hadi 2003 akanyongwa baada ya kuhukumiwa adhabu ya mauti kwa jinai dhidi ya binadamu.
- 2009 - George Miok, mwanajeshi wa Kanada