Papa Felix I
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Felix I alikuwa papa kuanzia 5 Januari 269 hadi kifo chake tarehe 30 Desemba 274. Alimfuata Papa Dionysius akafuatwa na Papa Eutychian.
Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 30 Desemba.
Viungo vya nje [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Felix I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |