Eliza Dushku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Eliza Dushku
Eliza Dushku.
Eliza Dushku.
Jina la kuzaliwa Eliza Patricia Dushku
Alizaliwa 30 Desemba, 1980
Marekani
Kazi yake Mwigizaji

Eliza Patricia Dushku (amezaliwa tar. 30 Desemba, 1980) ni mwigizaji wa tamthilia za TV na filamu kutoka nchini Marekani. Ameonekana katika filamu nyingi tu za Hollywood, filamu hizo ni True Lies, The New Guy, Bring It On, na Wrong Turn.

Vilevile ni anafahamika zaidi kwa kushiriki katika mfululizo wa vipindi vya televisheni, Buffy the Vampire Slayer na Angel as Faith. Pia alikuwa mwusika mkuu katika katika mfululizo wa kipindi cha tevisheni, maarufu kama Tru Calling.

Yaliyomo

[hariri] Wasifu

[hariri] Maisha ya awali

Dushku alizaliwa mjini Watertown, Massachusetts. Baba wa Dushku alikuwa Mwalbania-Mwamerika na mamake alikuwa Mdenmark asilia. Alikulia katika dhehebu la Mormon, ambalo mamake ndilo alilokuwa anaamini, lakini yeye hakujiweka karibu sana na dhehebu hilo. Ana ndugu watatu wa kiume, Aaron, Benjamin (amezaliwa 5 Februari, 1976), na Nathan (amezaliwa 8 Juni, 1977, mjini Boston, Massachusetts), wa mwisho wake nae vilevile mwigizaji na mwanamitindo. Wazazi wake na Dushku walitarikiana tangu Dushku akiwa yungali bado mchanga.

[hariri] Maisha binafsi

Dushku kwa sasa anaishi mjini Los Angeles, California.

[hariri] Filamu alizoigiza

  • That Night (1992) - Alice Bloom
  • This Boy's Life (1993) - Pearl
  • Fishing With George (1994)
  • True Lies (1994) - Dana Tasker
  • Bye Bye Love (1995) - Emma Carlson
  • Journey (1995, TV) - Cat
  • Race the Sun (1996) - Cindy Johnson
  • Bring It On (2000) - Missy Pantone
  • Jay and Silent Bob Strike Back (2001) - Sissy
  • Soul Survivors (2001) - Annabel
  • The New Guy (2002) - Danielle
  • City by the Sea (2002) - Gina
  • Wrong Turn (2003) - Jessie Burlingame
  • Punk'd (2003) - Herself
  • The Kiss (2003) - Megan
  • The Last Supper (2006) - Waitress
  • Yakuza (2006, Video Game) - Yumi Sawamura (voice)
  • On Broadway (2007) - Lena Wilson
  • Nobel Son (2007) - Sharon "City" Hall
  • Open Graves (2007) - Erica
  • The Alphabet Killer (2007) - Megan Paige
  • Bottle Shock (2008)
  • Sex and Breakfast (2008) - Renee

[hariri] Vipindi vya televisheni

  • Buffy the Vampire Slayer (1998-1999, 2000, 2003 recurring) - Faith Lehane (sinema 20)
  • Angel (2000, 2003 guest appearances) - Faith Lehane (sinema 6)
  • King of the Hill (2002) - Jordan (voice) in episode 'Get Your Freak Off'
  • Tru Calling (2003-2005) - Tru Davies (sinema 27 )
  • Reading Rainbow (2005 guest appearance) - Mwandishi wa sinema 'Unique Monique'
  • That '70s Show (2005 guest appearance) - Sarah
  • Nurses (2007) - Eve Morrow (Pilot)
  • Ugly Betty (2007 mgeni mwalikwa) - halijulikani
  • Dollhouse (2008) - Echo

[hariri] Marejeo

  1. http://www.truefan-eliza.com/judy.html
  2. http://www.maximonline.com/articles/index.aspx?a_id=4046&src=fc
  3. http://movies.about.com/library/weekly/aa050202b.htm
  4. http://moviesblog.mtv.com/2007/05/15/eliza-dushku-joins-the-force-for-alphabet-killer/
  5. http://www.eonline.com/gossip/kristin/detail/index.jsp?uuid=972f7d73-e0a2-43ea-abad-0abf6afba1f3

[hariri] Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine