Uislamu nchini Mauritania
Mandhari
Uislamu kwa nchi |
Uislamu nchini Mauritania ndiyo dini inayoongoza. Kwa ujumla watu wa Mauritania wote ni Waislamu wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafundisho ya Maliki.
Tangu uhuru mnamo 1960, Mauritania imekuwa jamhuri ya Kiislamu.
Toleo la Katiba la 1985 linataja kuwa ni nchi ya Kiislamu na wanafuata sharia za Kiislamu katika kuongoza serikali.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala kuhusu Uislamu kwa nchi bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |