20 Oktoba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Oktoba 20)
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 20 Oktoba ni siku ya 293 ya mwaka (ya 294 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 72.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1870 - Mtaguso wa kwanza wa Vatikano unasambaratika
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1682 - Mtakatifu Maria Kresensya Hoess, mmonaki Mfransisko kutoka Ujerumani
- 1854 - Arthur Rimbaud, mshairi kutoka Ufaransa
- 1863 - Arthur Henderson, mwanasiasa Mwingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1934
- 1891
- Samuel Flagg Bemis, mwanahistoria kutoka Marekani
- James Chadwick, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1935
- 1942 - Christiane Nüsslein-Volhard, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1995
- 1946 - Elfriede Jelinek, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2004
- 1964
- Kamala Harris
- Yvette Nipar, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1971
- Snoop Dogg, mwanamuziki kutoka Marekani
- Dannii Minogue, mwanamuziki kutoka Australia
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1740 - Kaisari Karoli VI wa Ujerumani
- 1835 - Tanomura Chikuden, mchoraji Mjapani
- 1964 - Herbert Hoover, Rais wa Marekani (1929-1933)
- 1968 - Archibald Jordan, mwandishi na mwanahistoria wa Afrika Kusini
- 1981 - Mary Chase, mwandishi kutoka Marekani
- 1984 - Paul Dirac, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1933
- 2003 - Jack Elam, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 2004 - Anthony Hecht, mshairi kutoka Marekani
- 2011 - Muammar al-Gaddafi, rais wa Libya (1969-2011)
- 2012 - Donnall Thomas, daktari kutoka Marekani, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1990
- 2013 - Julius Nyaisangah, mtangazaji wa redio kutoka Tanzania
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu akida Korneli, Kaprasi wa Agen, Sindolfi, Vitalis wa Salzburg, Andrea Kalibita, Aderaldo, Adelina, Maria Bertila Boscardin n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 20 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |