Yvette Nipar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yvette Nipar

Yvette Nipar
Amezaliwa Yvette Nipar
20 Oktoba 1964 (1964-10-20) (umri 59)
Los Angeles, California, Marekani
Jina lingine Yvette Naipar
Yvette Napier
Yvette Niper
Kazi yake Mwigizaji
Ndoa Patrick McDermott (1 Machi 1992 - 30 Juni 1993) (katarikiwa) mtoto 1

Yvette Nipar (amezaliwa 20 Oktoba 1964) ni mwigizaji wa filamu na tamthiliya kutoka nchi Marekani. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama Agent Kate Jensen katika filamu ya "Walking Tall: The Payback" na "Walking Tall: Lone Justice". Vilevile alicheza Agent Wendy Robbins katika filamu ya "Submerged". Pia anafahamika sana kwa kucheza kama Detective Lisa Madigan katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha "Robo Cop".

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yvette Nipar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.