Mary Chase (mwandishi)
Mandhari
Mary Coyle Chase (25 Februari 1906 – 20 Oktoba 1981) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1945, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake Harvey.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mary Chase (mwandishi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |