Nenda kwa yaliyomo

Archibald Jordan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Archibald Jordan

Archibald Campbell Mzolisa Jordan (30 Oktoba 1906 - 20 Oktoba 1968) alikuwa mwandishi na mwanahistoria wa Afrika Kusini. Hasa anajulikana kwa riwaya yake ya Kixhosa Ingqumbo Yeminyanya (= Hasira ya Mababu). Pia aliandika tahakiki za fasihi ya Kixhosa zilizotolewa baada ya kifo chake tu. Mwaka wa 1961 aliruhusiwa na serikali kuhama Afrika Kusini na akawa profesa ya Lugha na Fasihi za Kiafrika katika Chuo Kikuu cha Wisconsin, Marekani.

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

  • Ingqumbo Yeminyanya (= Hasira ya Mababu, 1940)
  • Towards an African Literature (1972, baada ya kifo chake)
  • Tales from Southern Africa (1973, baada ya kifo chake)

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Archibald Jordan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.