Nenda kwa yaliyomo

Tanomura Chikuden

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Detail of Boating on the Inagawa river (1829).

Tanomura Chikuden (14 Julai 177720 Oktoba 1835) alikuwa mchoraji maarufu kutoka nchi ya Japani. Jina lake la asili lilikuwa Tanomura Koken. Hasa alichora maua, ndege na mandhari.


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tanomura Chikuden kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.