Samuel Flagg Bemis
Mandhari
Samuel Flagg Bemis (20 Oktoba 1891 – 26 Septemba 1973) alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1927, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake Pinckney's Treaty. Tena, mwaka wa 1950, alituzwa Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu kwa wasifu yake ya John Quincy Adams.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Samuel Flagg Bemis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |