Yohakimu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Nabii Imran)
Yohakimu (kutoka Kiebrania יְהוֹיָקִים, Yəhôyāqîm, kwa Kigiriki Ἰωακείμ, Iōākeím, yaani "Yule ambaye YHWH amemuinua") anaheshimiwa kama baba wa Bikira Maria na babu wa Yesu kadiri ya mapokeo ya Ukristo na Uislamu, ingawa hatajwi katika Biblia[1] isipokuwa katika kitabu cha karne ya 2 kinachoitwa Injili ya Yakobo na vingine vilivyofuata[2].
Humo anatajwa pia mke wake Ana[3].
Wote wawili wanaheshimiwa kama watakatifu katika madhehebu mengi ya Ukristo, hasa tarehe 26 Julai[4][5].
Katika Kurani anajulikana kama nabii Imran.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ronald Brownrigg, Canon Brownrigg Who's Who in the New Testament 2001 ISBN 0-415-26036-1 page T-62
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/23650
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/23700
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/99075
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Brief American Catholic article on "Sts. Joachim and Ann" Archived 2 Mei 2009 at the Wayback Machine.
- "Here Followeth the Nativity of Our Blessed Lady" Archived 8 Oktoba 2012 at the Wayback Machine. from the Caxton translation of the Golden Legend
- The Protevangelium of James Archived 15 Novemba 2011 at the Wayback Machine.
- The Gospel of Pseudo-Matthew
- Foley O.F.M., Leonard. Saint of the Day, Lives, Lessons, and Feast, (revised by Pat McCloskey O.F.M.), Franciscan Media, ISBN 978-0-86716-887-7 Archived 6 Aprili 2015 at the Wayback Machine.
- St. Joachim, Father of the Virgin at the Christian Iconography web site
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yohakimu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |