Yohakimu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Joachim Mtakatifu)

Yohakimu (kutoka Kiebrania יְהוֹיָקִים, Yəhôyāqîm, kwa Kigiriki Ἰωακείμ, Iōākeím, yaani "Yule ambaye YHWH amemuinua") anaheshimiwa kama baba wa Bikira Maria na babu wa Yesu kadiri ya mapokeo ya Ukristo na Uislamu, ingawa hatajwi katika Biblia[1] isipokuwa katika kitabu cha karne ya 2 kinachoitwa Injili ya Yakobo na vingine vilivyofuata[2].
Humo anatajwa pia mke wake Ana[3].
Wote wawili wanaheshimiwa kama watakatifu katika madhehebu mengi ya Ukristo, hasa tarehe 26 Julai[4][5].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ronald Brownrigg, Canon Brownrigg Who's Who in the New Testament 2001 ISBN 0-415-26036-1 page T-62
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/23650
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/23700
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/99075
Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- Masomo ya Breviari - Sikukuu za Bwana, za Bikira Maria na za Watakatifu - Ndanda Mission Press 1978, uk 248-250
- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 256-257
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 215
- Maurice Soseleje, Kalendari yetu – Maisha ya Watakatifu – Toleo la pili – ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Peramiho 1986 – ISBN 9976-63-112-X, uk. 66
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Brief American Catholic article on "Sts. Joachim and Ann" Ilihifadhiwa 2 Mei 2009 kwenye Wayback Machine.
- "Here Followeth the Nativity of Our Blessed Lady" Ilihifadhiwa 8 Oktoba 2012 kwenye Wayback Machine. from the Caxton translation of the Golden Legend
- The Protevangelium of James Ilihifadhiwa 15 Novemba 2011 kwenye Wayback Machine.
- The Gospel of Pseudo-Matthew
- Foley O.F.M., Leonard. Saint of the Day, Lives, Lessons, and Feast, (revised by Pat McCloskey O.F.M.), Franciscan Media, ISBN 978-0-86716-887-7 Ilihifadhiwa 6 Aprili 2015 kwenye Wayback Machine.
- St. Joachim, Father of the Virgin at the Christian Iconography web site
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yohakimu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |