Mikoa ya Tanzania
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Tanzania |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Tanzania imegawanyika katika mikoa 30 (miji mikuu imewekwa kwenye mabano):
- Arusha (Arusha)
- Dar es Salaam (Dar es Salaam)
- Dodoma (Dodoma)
- Geita (Geita)
- Iringa (Iringa)
- Kagera (Bukoba)
- Katavi (Mpanda)
- Kigoma (Kigoma)
- Kilimanjaro (Moshi)
- Lindi (Lindi)
- Manyara (Babati)
- Mara (Musoma)
- Mbeya (Mbeya)
- Morogoro (Morogoro)
- Mtwara (Mtwara)
- Mwanza (Mwanza)
- Njombe (Njombe)
- Pemba Kaskazini (Wete)
- Pemba Kusini (Mkoani)
- Pwani (Kibaha)
- Rukwa (Sumbawanga)
- Ruvuma (Songea)
- Shinyanga (Shinyanga)
- Simiyu (Bariadi)
- Singida (Singida)
- Tabora (Tabora)
- Tanga (Tanga)
- Zanzibar Kati/Kusini (Koani)
- Unguja Kaskazini (Mkokotoni)
- Unguja Magharibi (Zanzibar)
Mikoa hiyo yote imegawanyika tena kwenye wilaya 146.
Wilaya zimeganyika katika kata kibao.
Tazama pia [hariri]
- Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneo ukubwa wa mikoa kwa ujumla wa eneo, eneo la ardhi, na eneo la maji.
- Wilaya za Tanzania
| Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mikoa ya Tanzania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
||||||||||||||||||||||||||
|
|
|
|---|---|
| Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Geita | Iringa | Kagera | Katavi | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Njombe | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Simiyu | Singida | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi | |