Mkoa wa Geita
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mkoa wa Geita |
|
| Nembo ya Tanzania | |
| Mahali pa Mikoa ya Geita na Mwanza katika Tanzania kabla ya umegaji | |
| Nchi | Tanzania |
|---|---|
| Wilaya | |
| Mji mkuu | Geita |
| Serikali | |
| - Mkuu wa Mkoa | |
Mkoa wa Geita ni kati ya mikoa 30 ya Tanzania. Umepakana na Kagera upande wa magharibi, Shinyanga upande wa kusini na Mwanza upande wa mashariki. Ziwa la Viktoria Nyanza liko kaskazini.
Makao makuu ya mkoa yapo Geita mjini.
Kabla ya kuanzishwa mkoa mpya wa Geita, ulikuwa sehemu ya mkoa wa Mwanza ambao ulikuwa na wakazi 2,942,148 (sensa ya mwaka 2002) katika wilaya 8 ukiwa na eneo la 19,592 km2.
Wilaya [hariri]
Wilaya za mkoa huo mpya ndizo Bukombe, Chato, Geita, Mbongwe na Nyang'hwale.
Wakazi [hariri]
Makabila makubwa katika mkoa ndio Wasukuma na Wazinza.
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
|
|
|---|---|
| Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Geita | Iringa | Kagera | Katavi | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Njombe | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Simiyu | Singida | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi | |