Wazinza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wazinza ni kabila kutoka eneo la kusini-magharibi ya Ziwa Viktoria na visiwa vya jirani, nchini Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Wazinza ilikadiriwa kuwa 138,000 [1]. Lugha yao ni Kizinza.

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wazinza kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Wazinza" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.