Wangindo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wangindo ni kabila la Tanzania wanaoishi upande wa Kusini wa Tanzania. Lugha yao ni Kingindo.

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wangindo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Wangindo" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.

Wangindo walikuwa ni warusha mishale maarufu na wazuri na walitumiwa sana haswa na chifu mkwawa alipokuwa akipambana na wabena na wasangu. Wangindo mbali ya kuishi kusini mwa Tanzania, pia wameenea katika sehemu tofauti tofauti za nchi hii ikiwemo Zanzibar, Morogoro na Mbeya katika kijiji cha Rujewa ambapo inasemekana kijiji hicho walipewa na mkwawa baada ya kumsaidia katika vita