Wazanaki
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wazanaki ni kabila kutoka eneo la kaskazini-magharibi ya nchi ya Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Wazanaki ilikadiriwa kuwa 62,000 [1]. Lugha yao ni Kizanaki.
| Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wazanaki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Makala hiyo kuhusu "Wazanaki" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |