Wamakwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wamakwe (pia huitwa Wamaraba) ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mtwara. Kwa wingi wako zaidi Msumbiji. Lugha yao ni Kimakwe.

Majina ya uko kwiga, mwaluko, Lemanya, mallogo, makome,

WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Wamakwe" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.