Warangi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Warangi ni moja ya makabila yanayopatikana katika mkoa wa Dodoma, ambao pia ndiyo makao makuu ya nchi ya Tanzania. Mwaka 1999 idadi ya Warangi ilikadiriwa kuwa 350,000 [1].
Kirangi ndiyo hasa lugha ya Warangi, ambayo wao huiita Kilaangi.
Kuhusu utamaduni wa Warangi, kijitabu kimetolewa juu ya vifaa vya zamani, kama kirindo, kipekecho na vinginevyo.
[hariri] Marejeo
- Fosbrooke, H.A. 1958 “Blessing the Year: a Wasi/Rangi Ceremony”, Tanganyika Notes and Records 50, 21-2
- Fosbrooke, H.A. 1958 “A Rangi Circumcision Ceremony: Blessing a New Grove”, Tanganyika Notes and Records 50, 30-36
- Gray, R.F. 1953 “Notes on Irangi Houses”, Tanganyika Notes and Records 35, 45-52
- Kesby, J. 1981 “The Rangi of Tanzania: An introduction to their culture”, HRAF: Yale
- Kesby, J. 1982 “Progress and the past among the Rangi of Tanzania”, HRAF: Yale
- Kesby, J. 1986 “Rangi natural history: The taxonomic procedures of an African people”, HRAF: Yale
- Maingu, Yovin na Brunhilde Bossow, 2006 "Mazingira ya Warangi na Wajerumani wa Kale", Kutolewa na Heimat- und Kulturverein Gellersen (Shirika la Historia na Utamaduni za Vijiji vya Gellersen, Ujerumani)
- Masare, A.J. 1970 “Utani Relationships: The Rangi”, muswada usiotolewa rasmi, Dar es Salaam
- Mung’ong’o, Claude G. 1995 “Social Processes and Ecology in the Kondoa Irangi Hills, Central Tanzania”, Chuo Kikuu cha Stockholm, Idara ya Human Geography, Meddlanden Series B 93
- Östberg, W. 1979 “The Kondoa Transformation”, research report no. 76, SIAS: Uppsala
| Makala hiyo kuhusu "Warangi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Warangi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |

