Wandali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wandali ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mbeya, Wilaya ya Ileje. Pia wako Malawi. Lugha yao ni Kindali.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Wandali" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Wandali kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi
Lugha nyingine