Wairaqw
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wairaqw (pia huitwa Wambulu) ni kabila la Tanzania wanaoishi katika mkoa wa Manyara na mkoa wa Arusha. Kihistoria, ni kati ya Wakushi wa kwanza kuhamia eneo la Tanzania ya sasa.
Lugha yao ni Kiiraqw, jamii ya lugha za Kikushi za kusini.
Mwaka 2001 walikuwa 462,000 hivi.
| Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wairaqw kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |