Warufiji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Warufiji ni kabila kutoka eneo la pwani ya Tanzania, karibu na Mto Rufiji. Mwaka 1987 idadi ya Warufiji ilikadiriwa kuwa 200,000 [1]. Lugha yao ni Kirufiji.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Warufiji" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Warufiji kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi
Lugha nyingine