Wasangu (Tanzania)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wasangu ni kabila kutoka eneo la kusini-magharibi ya nchi ya Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Wasangu ilikadiriwa kuwa 75,000 [1]. Lugha yao ni Kisangu.
| Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wasangu (Tanzania) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Makala hiyo kuhusu "Wasangu (Tanzania)" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |