Wasuba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wasuba ni kabila kutoka eneo la Ziwa Viktoria, nchini Tanzania, karibu na mpaka wa Kenya. Mwaka 1987 idadi ya Wasuba ilikadiriwa kuwa 30,000 [1]. Lakini wengi zaidi huishi nchini Kenya, idadi yao ni 129,000. Lugha yao ni Kisuba.

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wasuba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Wasuba" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.