Wakwere
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wakwere (pia wanaitwa Wanghwele) ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Bagamoyo. Lugha yao ni Kikwere.
| Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wakwere kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Makala hiyo kuhusu "Wakwere" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |