Waluo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wajaluo)
Waluo (pia Wajaluo) ni kabila hasa la Kenya. Wako pia Uganda ya msahriki na wachache wanaishi nchini Tanzania katika Mkoa wa Mara. Lugha yao ni Kiluo. Wenyewe hujiita Jaluo na lugha yao Dhulou.na mengi kuhusu waluo.tembelea websitehii;www.jaluo.com utacheka mpaka ujambe puuu.ongito nyamwanda 0784334032 en an jakiseru jakanyango
Waluo ni mkusanyiko wa kabila la kinilotiki ambalo lilisafiri kutoka Afrika ya Kaskazini kufuata mto Nile kuja Kusini. Waluo wengi wameenea kandokando ya Ziwa Viktoria kutokana na utamaduni wao wa uvuvi. Kwa Afrika mashariki utawakuta nchini Sudan, Kenya, Uganda na Tanzania.
[hariri] WaJaluo mashuhuri
- Gidi Gidi Maji Maji - Wasanii wa muziki aina ya hip hop
- Tom Mboya - mwanasiasa aliyeuawa 1969
- Barack Obama - mwanasiasa na Rais wa Marekani ni mwana wa baba Mjaluo
- Jaramogi Oginga Odinga - mwongozi wa Wajaluo kutoka wakati wa kupigania uhuru, mwanzilishaji wa vyama vya KANU, KPU, FORD-Kenya na makamu wa rais wa kwanza
- Raila Amolo Odinga - mwana wa Jaramogi na mwanasiasa muhimu wa kitaifa
- Robert Ouko - hayati waziri wa mambo ya kigeni aliyeuawa 1990
| Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waluo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |