Watumbuka
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Watumbuka ni kabila kutoka eneo la mpaka baina ya Malawi, Tanzania, na Zambia. Mwaka 2001 idadi ya Watumbuka ilikadiriwa kuwa 940,000 katika Malawi na 392,000 nchini Zambia, lakini hakuna idadi ya Watumbuka wanaoishi Tanzania [1].
| Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Watumbuka kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Makala hiyo kuhusu "Watumbuka" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |