Washambaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Washambaa ni kabila kutoka eneo la Milima ya Usambara, kaskazini-mashariki ya nchi ya Tanzania. Mwaka 2001 idadi ya Washambaa ilikadiriwa kuwa 664,000.

Washambaa au Wasambaa kama wanavyojulikana sana wanaishi kwenye milima ya usambara na lugha yao kubwa ni kisambaa. Wasambaa wamegawanyika katika koo mbalimbali ndani ya jamii zao ambazo ndio utambulisho wao. Koo au ukoo ni jambo la muhimu sana katika maeneo ya usambaa kwani wanajamii wa kisambaa wanatambuana kwa majina ya ukoo. Alama maarufu ya koo za kisambaa ni majina yanayoanza na SHE kama Shekiango, Shekimwei, Sheiza, Shembilu, Shekinyashi, Sheshe n.k koo nyingi za kisambaa zinajulikana kwa kuanza na majina hayo.

KUHUSU MAMBO YA UTAMADUNI:

Hapa tutaangalia yafuatayo; a) Sherehe b) Michezo na Burudani c) Misiba na d)Utamaduni wa kigeni

SHEREHE


[1]. Lugha yao ni Kishambala.

Majina ya uko kwiga, mwaluko, Lemanya, mallogo, makome,

WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Washambaa" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.