Milima ya Usambara
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Milima ya Usambara ni sehemu iliyoinuka upande wa Kaskasini Mashariki wa nchi ya Tanzania. Milima ya usambara ni milima kunjamano yaani milima iliyoshikana kutoka mlima mmoja mpaka mwingine. Wenyeji wanaoishi maeneo haya ni Wasambaa, ndiyo maana ikaitwa milima ya usambara. Iko mkoa wa Tanga kuanzia Korongwe kuelekea kaskazini mpaka inapakana na milima ya upare.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Milima ya Usambara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |