Wamatengo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wamatengo ni kabila la Tanzania wanaoishi katika mkoa wa Ruvuma (Wilaya) Mbinga mashariki.
BURUDANI ZA JADI [hariri]
Kuanzia mwezi juni mpaka november wamatengo hujiburudisha na ngoma za asili. Wanaume ngoma ya mganda na wanawake kioda.
SHUGHULI ZA KIUCHUMI [hariri]
Kilimo na ufugaji.
Jiografia ya makazi [hariri]
Wamatengo wanapenda kuishi milimani hii ni kwa sababu ya uroho wa ardhi kuajili ya kilimo hasa cha mazao ya biashar (kahawa)
| Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wamatengo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |