Wakutu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wakutu ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Morogoro, Wilaya ya Kilosa. Lugha yao ni Kikutu.

Kwanza kabisa naomba nisahihishe "Wakutu hawaishi Wilaya ya Kilosa, bali ni Wilaya ya Morogoro Vijijini ,vijiji vya Ukutu, Ukutu Magogoni,Kidunda na vinginevyo: Pia lugha yao haina tofauti kubwa na kiluguru.yaani wanasikilizana na Waluguru.

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wakutu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Wakutu" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.