Wamakua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wamakua (jina lao pia huandikwa Wamakhuwa ) ni kabila kubwa lenye mamilioni ya watu wanaoishi hasa nchini Msumbiji upande wa Kaskazini. Nchini Tanzania kuna Wamakua wanaoishi katika Mkoa wa Mtwara, Wilaya ya Masasi. Lugha zao ni aina mbalimbali za Kimakua. Lugha ya Kimakua inayozungumzwa nchini Tanzania ni Kimakhuwa-Meetto.

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wamakua kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Wamakua" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.