Wagorowa
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wagorowa (pia huitwa Wafiome) ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Dodoma, Wilaya ya Kondoa, na Mkoa wa Manyara karibu na mji wa Babati. Lugha yao ni Kigorowa.
| Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wagorowa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |