Wilaya ya Kondoa
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Kondoa (kijani) katika mkoa wa Dodoma.
Wilaya ya Kondoa ni wilaya moja ya Mkoa wa Dodoma. Makao ya halmashauri ya wilaya yapo Kondoa mjini. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Kondoa ilihesabiwa kuwa 429,824 [1].
Marejeo [hariri]
| Kata za Wilaya ya Kondoa - Mkoa wa Dodoma - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Bereko | Bumbuta | Busi | Chandama | Changaa | Chemba | Dalai | Farkwa | Goima | Gwandi | Haubi | Jangalo | Kalamba | Kikilo | Kikore | Kingale | Kisese | Kolo | Kondoa Mjini | Kwadelo | Kwamtoro | Lalta | Makorongo | Masange | Mnenia | Mondo | Mpendo | Mrijo | Ovada | Pahi | Paranga | Sanzawa | Soera | Suruke | Thawi |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kondoa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |