Wagweno

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wagweno ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Kilimanjaro, upande wa Kaskazini wa Milima ya Upare. Lugha yao ni Kigweno.

WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Wagweno" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Wagweno kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Lugha nyingine