Waswahili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Waswahili ni kabila la kutoka pwani ya Bahari Hindi ya nchikama vile Tanzania na Kenya.

Pia ni kawaida kuwaita wasemaji wa Kiswahili Waswahili hata kama ni wenyeji wa makabila mengine.

"Mswahili" ni pia namna ya kumtaja mtu mjanja kwa lugha ya mzaha.

WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Waswahili" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Waswahili kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.