Mbuzi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mbuzi | ||||||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mbuzi na mwanawe
|
||||||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||
|
Mbuzi akikamuliwa maziwa
Mbuzi ni mnyama katika ngeli ya mamalia mwenye miguu minne na mwenye tabia zinazofanana na ng'ombe. Kwa ukubwa, mbuzi aliyekomaa ni pungufu ya theluthi moja ya ng'mbe aliyekomaa.
Mbuzi, kama alivyo n'gombe ni mnyama anayefugika. Hufugwa kwa ajili ya nyama, maziwa na ngozi yake. Kwani nyama na maziwa ni chakula, na ngozi kufanywa viatu, mishipi na mikoba pia.
Mbuzi hula majani, hucheuwa na kutafuna tafuna chakula chake mara kadhaa ilhali kikizunguka kati ya vyumba mbalimbali vya tumbo na mdomo wake kabla ya kukimeza kabisa, kama vile afanyavyo ng'ombe.
Mara nyingi mbuzi hubeba mimba na kuzaa mapacha kadhaa.
Mbuzi ni kati ya wanyama wa kwanza waliofugwa na binadamu. Kuna spishi za kufugwa na spishi za pori.
[hariri] Viungo vya nje
- Goat breeds
- Goat resources
- Goat care and feeding guide
- Abraham Lincoln's sons kept pet goats inside the White House
- The American Dairy Goat Association Home Page
- Ruminations, The Nigerian Dwarf and Mini Dairy Goat Magazine
- American Goat Society
- Miniature Dairy Goat Association
- How to keep fires down in California scrub: Chew it.
- International Goat Association
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mbuzi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |