Wilaya ya Kyela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Kyela (kijani) katika mkoa wa Mbeya.

Wilaya ya Kyela ni wilaya moja ya Mkoa wa Mbeya. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 174,470 [1]. Makao makuu yapo Kyela Mjini.

Marejeo [hariri]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya KyelaMkoa wa Mbeya - Tanzania Flag of Tanzania.svg


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kyela kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

kingine ni kwamba hii wilaya ni maalufu kwa kilimo cha kokoa ambalo ndio zao la biashara,mpunga na mahindipia vinalimwa mimi ni michael John mwanafunzi mwaka wa tatu wa taasisi ya uhasibu tanzania