Mkoa wa Katavi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Mkoa wa Katavi ni kati ya mikoa 30 ya Tanzania. Ulianzishwa rasmi mnamo Machi 2012 kwa kumega mkoa wa Rukwa.

Makao makuu yako Mpanda.

Wilaya [hariri]

Wilaya za mkoa huo mpya ni mbili tu: Mlele na Mpanda.

Wakazi [hariri]

Kabila kubwa ni lile la Wafipa, na dini yao kwa kiasi kikubwa sana ni Ukristo wa madhehebu ya Kanisa Katoliki.

Viungo vya nje [hariri]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Katavi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
Mikoa ya Tanzania
Bandera Tanzania
Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Geita | Iringa | Kagera | Katavi | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Njombe | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Simiyu | Singida | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi