Mkoa wa Shinyanga
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ndani ya mkoa wa Shinyanga kabla ya mwaka 2010.
Mkoa wa Shinyanga katika Tanzania kabla ya mwaka 2010.
Mkoa wa Shinyanga ni kati ya mikoa 30 ya Tanzania. Mkoa umepakana upande wa kaskazini na mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera, upande wa kusini na Mkoa wa Tabora. Mkoa wa Kigoma uko upande wa magharibi, na mkoa mpya wa Simiu upande wa mashariki.
Makao makuu yapo Shinyanga.
Kabla ya kumegwa upande wa mashariki na kuzaa mkoa wa Simiu ulikuwa na wakazi 2,796,630 kufuatana na sensa ya mwaka 2002. [1]
[hariri] Wilaya
Mkoa wa Shinyanga ulikuwa na wilaya 8: Bariadi, Bukombe, Kahama, Kishapu, Maswa, Meatu, wilaya ya Shinyanga vijijini and wilaya ya Shinyanga mjini.
[hariri] Utamaduni
Makabila ya Shinyanga hasa ni Wasukuma, Wanyamwezi na Wasumbwa.
[hariri] Viungo vya nje
- Shinyanga Region Homepage for the 2002 Tanzania National Census
- Tanzanian Government Directory Database
|
|
|
|---|---|
| Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Geita | Iringa | Kagera | Katavi | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Njombe | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Simiyu | Singida | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi | |