Mkoa wa Pemba Kaskazini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaskazini Pemba mi moja ya mikoa 26 za Tanzania. Iko katika sehemu ya kaskazini ya Kisiwa cha Pemba ambacho ni sehemu ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar katika Tanzania.
Makao makuu ya mkoa ndipo Wete. Mkoa una wilaya mbili tu, Wete na Micheweni.
Ona pia [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Pemba Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
|
|
|---|---|
| Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Geita | Iringa | Kagera | Katavi | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Njombe | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Simiyu | Singida | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi | |