Wilaya ya Micheweni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Micheweni katika mkoa wa Pemba Kaskazini.
Wilaya ya Micheweni ni wilaya moja ya Mkoa wa Pemba Kaskazini. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 83,531 [1].
Marejeo [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Micheweni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Micheweni - Mkoa wa Pemba Kaskazini - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Finya | Kinowe | Kiuyu Maziwa Ng'ombe | Konde | Makangale | Mgogoni | Micheweni | Msuka | Shumba Mjini | Shumba Viamboni | Tumbe | Wingwi Mapofu | Wingwi Njuguni |
||